Ufafanuzi wa zalisha katika Kiswahili

zalisha

kitenzi elekezi

  • 1

    saidia mtu au mnyama azae.

  • 2

    tengeneza bidhaa k.v. kiwandani.

Matamshi

zalisha

/zaliāˆ«a/