Ufafanuzi msingi wa zama katika Kiswahili

: zama1zama2

zama1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  ingia ndani ya maji na kwenda chini k.v. baharini au mtoni.

 • 2

  toweka machoni.

Matamshi

zama

/zama/

Ufafanuzi msingi wa zama katika Kiswahili

: zama1zama2

zama2

nominoPlural zama

 • 1

  hutumika kuelezea nyakati mbalimbali.

  awamu

Asili

Kar

Matamshi

zama

/zama/