Ufafanuzi wa zao katika Kiswahili

zao

nomino

 • 1

  mmea unaotokana na mbegu iliyopandwa.

  ‘Zao la pamba’
  ‘Zao la katani’

 • 2

  kinachopatikana kutokana na mmea; kinachozaliwa na mmea.

  ‘Machungwa ni zao la mchungwa’

Matamshi

zao

/zaÉ”/