Ufafanuzi wa zarambo katika Kiswahili

zarambo

nominoPlural zarambo

  • 1

    kileo kinachopatikana kwa kukenekwa kwa tembo la mnazi baada ya kuchemshwa.

Asili

Kaj

Matamshi

zarambo

/zarambɔ/