Ufafanuzi wa zatiti katika Kiswahili

zatiti

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    fanya kuwa madhubuti na tayari kwa shughuli fulani.

    ‘Majeshi ya kila upande yamejizatiti barabara’
    andaa

Asili

Kar

Matamshi

zatiti

/zatiti/