Ufafanuzi wa zawidi katika Kiswahili

zawidi

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu zawadi.

Asili

Kar

Matamshi

zawidi

/zawidi/