Ufafanuzi wa zebe katika Kiswahili

zebe

nominoPlural mazebe

  • 1

    mtu mpumbavu.

    bozi, baradhuli, maarasi, mpumbavu

Asili

Kar

Matamshi

zebe

/zɛbɛ/