Ufafanuzi wa zebu katika Kiswahili

zebu

nominoPlural zebu

  • 1

    ng’ombe mkubwa mwenye nundu, anayefugwa sehemu za joto.

Asili

Kng

Matamshi

zebu

/zɛbu/