Ufafanuzi wa zeesha katika Kiswahili

zeesha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kizeeke.

    kongoa

Matamshi

zeesha

/zɛ:∫a/