Ufafanuzi wa zeri katika Kiswahili

zeri

nominoPlural zeri

  • 1

    kemikali maalumu iliyo na uowevu na yenye rangi nyeusinyeusi inayotumiwa na wahunzi kupozea madini baada ya kuyatoa motoni.

Matamshi

zeri

/zɛri/