Ufafanuzi wa zia katika Kiswahili

zia, zira

kitenzi elekezi

  • 1

    acha kula au kutumia kitu kwa sababu ya maradhi; weka mwiko.

  • 2

    kuwa na chuki ya jambo, mtu au kitu.

    ‘Ananizia bure, wala sina nililomtenda’
    chukia