Ufafanuzi wa zibua katika Kiswahili

zibua

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu au mahali palipozibwa pawe na uwazi; ondoa kizuizi mahali penye tundu.

Matamshi

zibua

/zibuwa/