Ufafanuzi wa zidi katika Kiswahili

zidi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  pita kiwango maalumu kilichokusudiwa.

  ‘Haya mambo sasa yamenizidi kimo’
  kithiri

 • 2

  kuwa zaidi.

  ‘Bado watu wanazidi kuja’
  pita, ongezeka, ongea, kulula, shitadi

Asili

Kar

Matamshi

zidi

/zidi/