Ufafanuzi wa zidisha katika Kiswahili

zidisha

kitenzi elekezi

  • 1

    rudia idadi mara zinazotakiwa.

    ‘Mbili ukizidisha kwa nne utapata nane’
    ongezea

Asili

Kar

Matamshi

zidisha

/zidiāˆ«a/