Ufafanuzi wa zidishia katika Kiswahili

zidishia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa

  • 1

    -pa mtu zaidi ya kile kilichokadiriwa.

    ongeza

Asili

Kar

Matamshi

zidishia

/zidi∫ija/