Ufafanuzi wa zii! katika Kiswahili

zii!

kiingizi

  • 1

    tamko linalotumiwa kuzomea au kutoafikiana na mtu au jambo.

Matamshi

zii!

/zi:/