Ufafanuzi wa zika katika Kiswahili

zika

kitenzi elekezi

  • 1

    weka na fukia kitu, mzoga au maiti ndani ya shimo au kaburi.

  • 2

    kutompa mtu kitu ambacho ni halali yake.

    ‘Kazi tumemfanyia lakini katuzika’

Matamshi

zika

/zika/