Ufafanuzi wa zila katika Kiswahili

zila

nominoPlural zila

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kifaa cha kukumbia maji katika chombo cha baharini k.v. jahazi, mashua au dau.

    upo, ndau, sila, dila

Matamshi

zila

/zila/