nominoPlural mazimamoto, Plural zimamoto
- 1
gari maalumu kwa ajili ya kuzimia moto.
nominoPlural mazimamoto, Plural zimamoto
- 1
kikosi maalumu kwa ajili ya kuzima moto.
nominoPlural mazimamoto, Plural zimamoto
- 1
kituo au stesheni maalumu ya kazi ya kuzima moto inapotokea dharura.