Ufafanuzi wa zimbaa katika Kiswahili

zimbaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kaa bila ya kusema au kufanya jambo lolote.

    pumbaa

Matamshi

zimbaa

/zimba:/