Ufafanuzi wa zimia katika Kiswahili

zimia

kitenzi sielekezi

  • 1

    potewa na fahamu k.v. kwa sababu ya ugonjwa, kuanguka ghafla au kwa kunywa dawa zenye nguvu ya kufanya hivyo.

    zirai, ghumiwa

Matamshi

zimia

/zimija/