Ufafanuzi wa zimika katika Kiswahili

zimika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    acha kuwaka kwa moto uliokuwa unawaka.

Matamshi

zimika

/zimika/