Ufafanuzi wa zinara katika Kiswahili

zinara

nominoPlural zinara

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    mstari unaochorwa kuzunguka chombo cha baharini k.v. meli au merikebu ili kuwa ni alama ya kuonyesha uzito wa shehena iliyomo ndani usizidi mpaka mstari huo ukazama majini.

Asili

Kar

Matamshi

zinara

/zinara/