Ufafanuzi wa zinda katika Kiswahili

zinda

kitenzi sielekezi

  • 1

    simama imara; kuwa thabiti.

    jikaza

Matamshi

zinda

/zinda/