Ufafanuzi msingi wa zinga katika Kiswahili

: zinga1zinga2

zinga1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iza

 • 1

  enda huku na huko.

  zunguka, tembeatembea

 • 2

  geuka upande mwingine.

Matamshi

zinga

/zinga/

Ufafanuzi msingi wa zinga katika Kiswahili

: zinga1zinga2

zinga2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iza

 • 1

  fanya uasherati.

Matamshi

zinga

/zinga/