Ufafanuzi wa zingatia katika Kiswahili

zingatia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    tia moyoni na fikiria.

    ‘Haya ninayokueleza yazingatie sana’
    dhukuru, tafakari, taamali, waza, itabiri, fikiria

Matamshi

zingatia

/zingatija/