Main definitions of zingizi in Swahili

: zingizi1zingizi2

zingizi1

noun

 • 1

  maumivu ya tumbo yanayompata mwanamke ambaye yuko katika siku zake za mwezi au baada ya kujifungua.

  ‘Tumbo la zingizi’

Pronunciation

zingizi

/zingizi/

Main definitions of zingizi in Swahili

: zingizi1zingizi2

zingizi2

noun

 • 1

  sehemu ya kitovu cha mtoto mchanga inayokatika baada ya muda.

 • 2

  kinachotoka tumboni mwa mwanamke baada ya mtoto kuzaliwa; kondo ya nyuma.

  kondo

Pronunciation

zingizi

/zingizi/