Ufafanuzi wa zingua katika Kiswahili

zingua

kitenzi elekezi

Kidini
  • 1

    Kidini
    somea mtu Kurani ili kumwombea Mwenyezi Mungu amwepushe na balaa au madhara.

    eua, safisha

Matamshi

zingua

/zinguwa/