Ufafanuzi wa zini katika Kiswahili

zini

kitenzi sielekezi

  • 1

    fanya kitendo cha kujamiiana baina ya mwanamke na mwanamume bila kufuata taratibu za kidini.

Asili

Kar

Matamshi

zini

/zini/