Ufafanuzi wa zoa katika Kiswahili

zoa

kitenzi elekezi~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    ondoa kwa wingi kilichokusanywa, agh. vitu vidogovidogo k.v. takataka au nyasi, kwa mikono au chombo.

    ‘Umeshauzoa ule mchele ulioumwaga?’
    kokoa, kumba, kulula, somba, soza

Matamshi

zoa

/zɔwa/