Ufafanuzi wa zoea katika Kiswahili

zoea

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na hali au tabia ya kufanya jambo moja mara kwa mara hata kufikia hali ya kutoweza kuepukana nalo.

Matamshi

zoea

/zɔɛja/