Ufafanuzi wa zoeleka katika Kiswahili

zoeleka

kitenzi sielekezi~ea

  • 1

    fanyika mara kwa mara na hivyo kufahamika vyema.

Matamshi

zoeleka

/zɔɛlɛka/