Ufafanuzi wa zogo katika Kiswahili

zogo

nomino

  • 1

    hali ya kutokuweko na umakini au kusikilizana.

    ghasia, fujo, vurugu, vurumai, tandabelua

Matamshi

zogo

/zɔgɔ/