Ufafanuzi wa zoza katika Kiswahili

zoza

kitenzi sielekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    bisha kwa maneno makali na kelele; patiliza kwa maneno makali.

    gomba

Matamshi

zoza

/zɔza/