Ufafanuzi wa zubaa katika Kiswahili

zubaa

kitenzi sielekezi~lia, ~ika, ~isha

  • 1

    shikwa na butwaa; shikwa na bumbuazi.

    duwaa

  • 2

    kosa kuwa mchangamfu.

Matamshi

zubaa

/zuba:/