Ufafanuzi wa zuhura katika Kiswahili

zuhura

nominoPlural zuhura

  • 1

    sayari mojawapo ambayo ni ya pili kutoka kwenye jua.

    ng’andu, nandu

Asili

Kar

Matamshi

zuhura

/zuhura/