Ufafanuzi msingi wa zuia katika Kiswahili

: zuia1zuia2zuia3

zuia1

kitenzi elekezi

 • 1

  fanya isiendelee au isimame.

  ‘Alikuwa anakwenda kumpiga mwenzake, mimi ndiye niliyemzuia’
  ‘Daktari amemzuia kunywa pombe’
  simamisha, komesha, pinga, gwaza, kwamisha, kataza

Matamshi

zuia

/zuIja/

Ufafanuzi msingi wa zuia katika Kiswahili

: zuia1zuia2zuia3

zuia2

kitenzi elekezi

 • 1

  shikilia ili kisianguke.

  ‘Kiguzo hiki ndicho kinachozuia dari ya nyumba hii’
  fichika

Matamshi

zuia

/zuIja/

Ufafanuzi msingi wa zuia katika Kiswahili

: zuia1zuia2zuia3

zuia3

kitenzi elekezi

Matamshi

zuia

/zuIja/