Ufafanuzi wa zuka katika Kiswahili

zuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    anza au tokea kwa kitu au jambo ambalo halikuwepo wala kutegemewa.

Matamshi

zuka

/zuka/