Ufafanuzi msingi wa zulu katika Kiswahili

: zulu1zulu2

zulu1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ona kizunguzungu; zungukwa na akili.

  • 2

    pungukiwa na akili kwa sababu ya uzee au ugonjwa.

Matamshi

zulu

/zulu/

Ufafanuzi msingi wa zulu katika Kiswahili

: zulu1zulu2

zulu2

nomino

  • 1

Matamshi

zulu

/zulu/