Ufafanuzi wa zumaridi katika Kiswahili

zumaridi

nominoPlural zumaridi

  • 1

    mojawapo ya vito vya thamani chenye rangi ya kijani iliyopauka.

Asili

Kaj

Matamshi

zumaridi

/zumaridi/