Ufafanuzi wa zumburu katika Kiswahili

zumburu

nominoPlural mazumburu

  • 1

    samaki mwenye umbo la chewa mdogo na ambaye hupatikana katika vibwawa vya baharini na kwenye vishimo vya visiki vya mikandaa.

    dumbwara

Matamshi

zumburu

/zumburu/