Ufafanuzi wa zumo katika Kiswahili

zumo

nominoPlural zumo

  • 1

    nyimbo zinazoimbwa k.v. baada ya askari kushinda vita au katika msafara mrefu wa miguu.

  • 2

    kelele za shime zinazopigwa k.v. katika sherehe fulani.

Matamshi

zumo

/zumɔ/