Ufafanuzi wa zunguka katika Kiswahili

zunguka, zunguruka

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  enda mwendo wa kufanya duara.

  ‘Nimeuzunguka mti huu mara tatu’
  zingira, husuru

 • 2

  enda huku na huku bila ya kazi maalumu.

  zurura, zinga

Matamshi

zunguka

/zunguka/