Ufafanuzi wa zungumza katika Kiswahili

zungumza

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    sema maneno katika mkutano au mjadala.

  • 2

    ongea au shiriki katika mjadala, mkutano au baraza kwa kutoa maoni yako.

  • 3

    ongea

Matamshi

zungumza

/zungumza/