Ufafanuzi wa zungusha katika Kiswahili

zungusha, zungurusha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kitu kiende katika umbo la duara.

  • 2

    pitisha mtu katika eneo fulani kwa kulikagua au kulifahamu.

Matamshi

zungusha

/zungu∫a/