Ufafanuzi wa zungushia katika Kiswahili

zungushia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~wa

  • 1

    weka au pitisha katika pande zote za kitu.

    ‘Watu hupenda kuzungushia nyumba zao ua’

Matamshi

zungushia

/zungu∫ija/