Ufafanuzi wa zurura katika Kiswahili

zurura

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda huku na huko bila shughuli maalumu bali kwa kupoteza wakati.

    tembeatembea, susurika, mangamanga, shaja, tanga, randa, zunguka

Matamshi

zurura

/zurura/