Ufafanuzi msingi wa zusha katika Kiswahili

: zusha1zusha2

zusha1

kitenzi elekezi

  • 1

    anzisha kitu au jambo bila kutegemewa.

Matamshi

zusha

/zu∫a/

Ufafanuzi msingi wa zusha katika Kiswahili

: zusha1zusha2

zusha2

kitenzi elekezi

  • 1

    anzisha na eneza jambo lisilo na ukweli.

Matamshi

zusha

/zu∫a/