Ufafanuzi wa -ake katika Kiswahili

-ake

kivumishi

  • 1

    mzizi wa kivumishi kimilikishi cha nafsi ya tatu katika umoja.

Matamshi

-ake

/akɛ/