Ufafanuzi wa -andamizi katika Kiswahili

-andamizi

kivumishi

  • 1

    -enye kufuata; -a ngazi ya juu.

    ‘Mhadhiri mwandamizi’

Matamshi

-andamizi

/andamizi/